Header Ads

BONDIA MOHAMMED MATUMLA, KUZICHAPA NA KOBA DONATI SIKUKUU YA IDI PILI, BAGAMOYO

 
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Mohamed Matumla anatalajia kupanda tena uringoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani kupambana na Koba Nodat katika uzito wa KG 57 mpambano wa raundi sita Matmla anapambana mpambano uho baada ya mpambano wake wa mwisho kumtwanga Mchina kwa point.

mratibu na promota wa mpambano uho Muhsin Sharif amesema amesema mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi litawakutanisha bondia Iddi Pialali kutoka Kiwangwa Bagamoyo na Mesharck Mwankemwa kutoka Mbeya mpambano wa raundi nane kg 66 wakati bondia machachari katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini Vicent Mbilinyi atavaana na Khalidi Hongo mpambano wa raundi nne wakati Twalibu Tuwa atavaana na Sudi Sudi.


No comments

Powered by Blogger.