Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afanya Ziara Wilayani Mlele, KATAVI
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kisalimiana na viongozi wa wilaya ya Mlele wakati alpowasili kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Inyonga kuhutubia mkutano wa hadhara Agosti 22,2016. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Inyonga wilayani Mlele Agosti 22, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |
Post a Comment