Wakazi wa MULEBA walipokea Kwa Shangwe Tamasha la tiGO FIESTA 2016
![]() |
| Msanii Joh Makini akiwarusha mashabiki wa hip hop kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile. |
![]() |
| Msanii Raymond akionyesha umahiri wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile. |
![]() |
| Msanii Shilole akiwa na shabiki wake kwenye Tamasha la Tigo Fiesta wilaya Muleba usiku wa jana lililofanyika uwanja wa David Zihimbile. |
![]() |
| Msanii chipukizi wa super nyota aliyebahatika kushiriki fiesta ya mwisho litalofanyika jijini Dar Es salaaam. |
![]() |
| Sehemu ya umati uliohudhuria tamasha la Tigo fiesta Wilayani Muleba. |







Post a Comment