Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani,
wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(katikati), katika kikao
cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao
ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali
kwa asilimia kumi ifikapo mwezi
Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani , Mohamed Mpinga.
|
Post a Comment