Waumini wa KKKT Mtaa wa KULASI wilayani Korogwe Wajengewa Kanisa Jipya
Muonekano wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Muonekano wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe .
Waumini wa Kanisa
la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga (wa kwanza kushoto) akiongoza wachungaji wa kanisa hilo kupokea waumini wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akiongoza ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Baadhi ya Waumini wa kanisa hilo wakiimba nyimbo wakati wa ibada ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akikata utepe kufungua rasmi jengo jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akifungua mlango wa kanisa ili waumini wapate kuingia ndani.
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akisoma neno mara baada ya waumini kuingia ndani ya kanisa hilo.
Waumini wa kanisa la Mtaa wa Kulasi wakiwa wameshika kuta za kanisa hilo wakati wa sala ya kubariki jengo la kanisa.
Post a Comment