Kishindo cha Uzinduzi wa FIESTA 2016 # Imoooooo Jijini Mwanza Hiki Hapa
| Umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza wakitoa shangwe wakati burudani mbalimbali zikiendelea katika Tamasha la Tigo Fiesta 2016 viwanja vya CCM Kirumba hapo usiku wa jana. | 
| Benpol akilishambulia jukwaa la Tigo Fiesta 2016 lilifnayika jana katika viwanja vya CCM kirumba Jijini Mwanza. | 
| Msanii wa kizazi kipya Dayna Nyange akitumbuiza umati uliohudhuria Tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza hapo usiku wa jana. | 
| Mkali wa Singeli anayetamba na nyimbo yake "HAINAGA USHEMEJi" akitumbuiza jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza. | 
| Aika na Nahreel (Navykenzo ) nao walifanikiwa kuteka jukwaa la Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza. | 
| Wasanii toka kikundi cha TipTop connections Tundaman na Madee Ali wakitumbuiza mashabiki katika jukwaa la Tigo Fiesta 2016 katika viwanja vya CCM kirumba hapo usiku wa jana . | 
| Weusi wakilishambulia vilivyo jukwaaa la Tigo Fiesta 2016 Jijini Mwanza hapo usiku wa jana. | 
| Msanii wa kimataifa toka Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akitumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 liliofanyika hapo jana Jijini Mwanza katika viwanja vya CCM Kirumba. | 
| Baadhi ya waandishi wa Habari wakichukua matukio katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 wakazi msanii wa kimataifa toka Naijeria Wizkid akitumbuiza katika viwanja vya CCM kirumba usiku wa jana. | 
Post a Comment