TANGAZO LA KAZI : MRADI WA AJIRA YA DHARURA SEKTA YA AFYA
JAMHURI YA MUUNGANO
WA TANZANIA
WIZARA YA AFYA,
MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO
TANGAZO
LA KAZI
MRADI WA AJlRA YA DHARURA
KATlKA SEKTA YA AFYA
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepata kibali cha mpango wa Ajira ya dharura kwa wataalamu wa "fani za Tabibu na Wauguzi. Mpango huu utaendeshwa chini ya mradi, kwa ufadhili wa fedha za Mfuko wa CDC, Award No. 5U2GGH001062-03 kwa muda wa miaka miwili.
Mradi utaajiri watumishi 192 ambao watapangiwa kufanyakazi kwenye
halmashauri za wilaya 40 zenye uhaba mkubwa wa watumishi wa kutoa huduma za
afya hasa kwa waathirika wenye virusi vya UKIMWI. Watumishi hawa watalipwa mishahara na stahiki nyingine kwa
kufuata taratibu na kanuni za serikali. Watumishi wanaotakiwa ni Tabibu Wasaidizi (Clinical Assistant) 95
wenye ngazi ya Astashahada (Certificate in
Clinical Medicine) na Wauguzi (Enrolled Nurses) 97 wenye ngazi ya Astashahada (Certificate in Nursing and
midwifery).
Wizara inakaribisha
maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa zilizotajwa hapo juu, wawe na
cheti cha kumaliza kidato cha nne pamoja na cheti cha taaluma aliyosomea kutoka
kwenye chuo kinachotambuliwa na serikali. Barua ya maombi ioneshe wilaya ambayo
mtumishi atapenda apangiwe kufanyakazi kati ya wilaya zilizopendekezwa hapo
chini. Mwisho wa kupokea maombi ni
tarehe 14/12/2016.
Maombi yote yatumwe kwa:-
Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,
6 Samoral Machel Avenue,
S.L.P 9083,
11478, Dar es Salaam.
Tanzania
05/12/2016
Orodha ya Halmashauri za Wilaya na idadi Watumishi waliopendekezwa.
Orodha ya Halmashauri za Wilaya na idadi Watumishi waliopendekezwa.
Na.
|
Mkoa
|
Halmashauri
(Wilaya)
|
Tabibu Wasaidizi
|
Wauguzi Wasaidizi
|
Jumla
|
1
|
Arusha
|
1. Arusha CC
|
3
|
3
|
6
|
2
|
Dar es Salaam
|
2. Ilala MC
|
3
|
3
|
6
|
3. Kinondoni
MC
|
3
|
3
|
6
|
||
4. Temeke MC
|
3
|
3
|
6
|
||
3
|
Dodoma
|
5. Dodoma MC
|
2
|
3
|
5
|
4
|
Geita
|
6. Geita DC
|
2
|
2
|
4
|
5
|
Iringa
|
7. Mufindi DC
|
3
|
3
|
6
|
8. Iringa MC
|
2
|
2
|
4
|
||
6
|
Kagera
|
9. Bukoba DC
|
3
|
3
|
6
|
10. Muleba DC
|
2
|
2
|
4
|
||
7
|
Kigoma
|
11. Kigoma
Ujiji MC
|
2
|
3
|
5
|
8
|
Kilimanjaro
|
12. Moshi DC
|
3
|
3
|
6
|
9
|
Lindi
|
13. Lindi MC
|
2
|
2
|
4
|
10
|
Mara
|
14. Musoma MC
|
2
|
2
|
4
|
15. Rorya DC
|
2
|
2
|
4
|
||
11
|
Mbeya
|
16. Chunya DC
|
2
|
2
|
4
|
17. Kyela DC
|
3
|
3
|
6
|
||
18. Mbarali
DC
|
2
|
2
|
4
|
||
19. Mbeya CC
|
3
|
3
|
6
|
||
20. Mbeya DC
|
3
|
3
|
6
|
||
21. Mbozi DC
|
2
|
2
|
4
|
||
22. Rungwe DC
|
2
|
2
|
4
|
||
12
|
Morogoro
|
23. Morogoro
MC
|
3
|
3
|
6
|
13
|
Mwanza
|
24. Nyamagana
MC
|
3
|
3
|
6
|
25. Sengerema
DC
|
2
|
2
|
4
|
||
14
|
Njombe
|
26. Njombe TC
|
2
|
2
|
4
|
27.
Wanging'ombe DC
|
2
|
2
|
4
|
||
15
|
Rukwa
|
28.
Sumbawanga DC
|
2
|
2
|
4
|
29.
Sumbawanga MC
|
2
|
2
|
4
|
||
16
|
Ruvuma
|
30. Mbinga DC
|
2
|
2
|
4
|
31. Songea MC
|
2
|
2
|
4
|
||
17
|
Shinyanga
|
32. Kahama DC
|
2
|
2
|
4
|
33. Kahama TC
|
3
|
3
|
6
|
||
34. Shinyanga
MC
|
2
|
2
|
4
|
||
18
|
Tabora
|
35. Igunga DC
|
2
|
2
|
4
|
36. Nzega DC
|
2
|
2
|
4
|
||
37. Tabora MC
|
3
|
3
|
6
|
||
19
|
Tanga
|
38. Korogwe
TC
|
2
|
2
|
4
|
39. Muheza DC
|
2
|
2
|
4
|
||
40. Tanga CC
|
3
|
3
|
6
|
||
Jumla
|
95
|
97
|
192
|
-
Post a Comment