Header Ads

Kauli ya Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA Baada ya Kuoneshwa Pembe za Faru John

  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na  Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori  (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016, Kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne maghembe.
Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi wa Kitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori  (Acting Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande (kulia) na Mkuu wa Hifadhi ya Ikorongo Gurunetya Serengeti, Nollosco Ngowe wakiwa wamebeba sanduku lenye pembe za faru John baada ya kumwonyesha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika kikao kilichofanyika kwenye Makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.