Dkt MAGUFULI ashiriki na Kuhutubia Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama wakati wimbo wa Taifa
ulipokuwa ukipigwa uwanjani hapo.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. |
Post a Comment