Header Ads

Waziri wa Afya atoa Siku 60 kwa Wakurugenzi Kulipa Malimbikizo ya Sare za Wauguzi



Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu,akiongea na wauguzi(hawapo pichani)wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 44 wa wauguzi Tanzania.



Wauguzi toka mikoa mbalimbali nchini wakimsikiliza waziri wa afya wakati wa mkutano huo,ambapo kwenye hotuba yao waliomba kulipwa posho na malimbikizo ya sare za wauguzi kiasi cha shilingi 120,000/=.


Rais wa Chama cha Wauguzi Tangania(TANNA) Paul Magesa akimkabidhi zawadi ya shukrani kwa kushiriki nao Waziri wa Afya ,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,WZee na Watoto.

Wakati watanzania wakiendelea kuchanga fedha na mahitaji mengine kwa waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera,Wauguzi waliohudhuria mkutano huo nao walichanga kiasi cha shilingi 4,196,500/= na kumkabidhi Waziri Ummy Mwalimu ili afikishe mchango wao na pole kwa mkoa huo.

(picha na Catherine Sungura,WAMJW)

No comments

Powered by Blogger.