Header Ads

Rais Dkt MAGUFULI amuandalia Dhifa ya Kitaifa Rais JOSEPH KABILA wa Kongo

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwaheshima yake.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa heshima yake.

 Rais Joseph Kabila akimwamkia Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.

 Rais Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi,  Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.

 Rais Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.

  Rais Joseph Kabila akisalimiana na  Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake.

  Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake.

 Mama Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.

  Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam.

 Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi.

 Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.

 Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo.

Mama Salma Kikweteb akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.

 Spika Mstaafu Mhe Anne makinda akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha umahiri wake wa kupiga ngoma mbele ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa.

PICHA NA IKULU


No comments

Powered by Blogger.