Header Ads

Rais Dkt SHEIN afanya Mazungumzo na Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo kuhusu  utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo Nd,Omar Hassan Omar akisoama baadhi ya vifungu wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana.
Mkurugenzi wa ZBC Tv Ng,Aiman Duwe akitoa ufafanuzi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja jana wakati wa mkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020.
aadhi ya  Viongozi wa Idara za Wizara ya 
​H​
abari,Utalii,Utamaduni na Michezo wakimsikiliza   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara hiyo  kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Mshauri wa Rais Utamaduni Mhe,Chimbeni Kheir (kushoto) akichangia wakati waMkutano wa siku moja wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo  uliozungumzia utekelezaji wa Programu ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi  CCM katika  kipindi cha mwaka 2015-2020,uliofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
 (kulia) Naibu Waziri wa Wizara hiyo Chumu Kombo Khamis.

​(Picha na Ikulu) 

No comments

Powered by Blogger.