Header Ads

Rais Dkt MAGUFULI awaahidi Wananchi wa Zanzibar kusimamia Maendeleo

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja, katika mkutano maalumu wa Kuwashukuru kwenye Kiwanja cha Kibandamaiti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwasalimia wananchi wa Mikoa mitatu ya Unguja wakati akimkaribisha Dkt.John Magufuli katika mkutano wa kuwashukuru wananchi wa mikoa mitatu ya Unguja katika uwanja wa kibandamaiti.


Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli wakati alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja kuzungumza na wananchi hao katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja leo.
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akisalimia na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe,Jecha salim Jecha  wakati wa katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi uliofanyika leo  katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja  wa kuwashukuru Wananchi wa Mikoa mitatu(3)  .
Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanznia Dkt.John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wakati wa alipofika katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Unguja katika mkutano maalum wa kuwashukuru wananchi wa Mikoa mitatu(3) ya Unguja leo.

(Picha na Ikulu)

No comments

Powered by Blogger.