Header Ads

Dkt MAGUFULI akamilisha Ziara ya Zanzibar arejea Dar es Salaam Usiku Huu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Zanzibar. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda mara baada ya kurejea jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar. 

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.