Header Ads

Rais Dkt ALI SHEIN akutana na Viongozi wa Wizara Mbalimbali


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020  katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo (wa pili kulia) Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid Yahya Mzee. 
Baadhi ya Wakurugenzi wa Idara zilizo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango wakiwa katika mkutano wa siku moja wa Wizara hiyo kuhusu Programu ya  utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020 chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.

(Picha na Ikulu)

No comments

Powered by Blogger.