Header Ads

Rais Dkt ALI SHEIN afanya Mazungumzo na Watendaji wa Wizara ya Afya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, katika  ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Wakurugenzi wa Idara mbali mbali za Wizara ya Afya wakiwa katika mkutano wa siku moja kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM katika kipindi cha mwaka 2015-2020, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  katika   ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko, kuhusu mpango wa utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM  katika kipindi cha mwaka 2015-2020,mazungumzo hayo yamefanyika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja leo.
Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko Nd,Bakari Haji Bakari (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bisahara la Taifa ZSTC Dkt.Said Seif Mzee wakiwa katika mkutano wa siku moja uliozungumzia mpango wa Utekelezaji Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa Kipindi cha mwaka 2015-2020,katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

( Picha na Ikulu )

No comments

Powered by Blogger.