Header Ads

Mkuu wa Mkoa MARTINE SHIGELLA akagua Bandari ya Tanga

 Kushoto ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa kwanza kulia aliyekaa kwenye boti wakati alipofanya ziara ya kuitembelea bandari hiyo.

 Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa kwanza kulia akitazama maeneo ya bahari akiwa kwenye boti wakati alipoitembelea kuona namna ya utendaji wao  katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi na kushoto ni Kaimu Meneja wa Bandari wa Tanga Henry Arika.

 Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika wa pili kutoka kulia akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella wa pili kutoka kulia wakati alipofanya ziara ya kuitembelea Bandari hiyo kuona namna inayofanya kazi kwa ufanisi.

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akishuka kwenye boti la Bandarini akisaidiwa kushuka wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella aliyoitembelea bandari hiyo kuona namna inavyofanya kazi zake.
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akipanda ngazi kuelekea kwenye meli ya mizigo iliyotia nanga Bandari ya Tanga wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella ambaye aliitembelea Bandari hiyo anayefuatia ni Mkuu huyo wa mkoa.
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akipanda ngazi kuelekea kwenye meli iliyotinga nanga baharini wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella juzi kuona namna inavyofanya kazi zake.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella akipanda ngazi kuelekea kwenye meli ya mizigo iliyotia nanga bandari ya Tanga wakati wa ziara yake ya kuitembelea Bandari hiyo.
 Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Mhandisi Zena Saidi akipanda ngazi kuelekea kwenye meli hiyo akifuatiwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Tanga,Faidha Salim wakati wa ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella.

No comments

Powered by Blogger.