Header Ads

Kikao cha Wabunge Kupokea Taarifa ya Ukomo wa Bajeti chafanyika

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya mawaziri baada ya kuongoza kikao cha Wabunge cha  kupokea mapendekezo ya mpango wa maendeleo na ukomo wa bajeti ya serikali  kwenye kituo cha mikutano cha kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam  Aprili 6, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.