Header Ads

Megatrade Investment yapokea Cheti cha Ubora Bidhaa zake Kutoka Kwa TBS

Meneja wa Kanda ya Pwani wa Kampuni ya Megatrade investment limited Godfrey Mkunde kushoto akipokea cheti cha ubora wa bidhaa za kampuni hiyo kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya viwango nchini TBS  Bw. Joseph Masikitiko wakati wa utoaji wa vyeti hivyo uliofanyika katika ofisi za TBS Dar es salaam.

 
 
 

No comments

Powered by Blogger.