Header Ads

Dkt JOHN MAGUFULI Rais wa Awamu ya Tano wa TANZANIA

20151029060849
 Dkt JOHN POMBE MAGUFULI - Rais Mteule wa TANZANIA

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Jaji Damian Lubuva amtangaza Dk. John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa kiti cha urais baada ya kuwashinda wapinzani wake katika mchuano wa Urais.

 Dk John Pombe Magufuli ameshinda kwa kura 8.882.935 sawa na asilimia 58.46 huku Edwarld Lowasa akipata kura 6.072.848 sawa na asilimia 39.97.

????????????????????????????????????

No comments

Powered by Blogger.