Header Ads

EDWARD LOWASSA ajinadi katika Jimbo la Mbeya Mjini

Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", wakiwasili katika uwanja wa Rwanda Nzovwe kwa  Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika  Jijini Mbeya leo.

No comments

Powered by Blogger.