Header Ads

Mgombea Urais wa Chadema, EDWARD LOWASSA azungumza na Wananchi wa MBOGWE

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimsalimia Bi. Lemmy Mahogija (albino) na Mtoto wake Zawadi Elias, wakati alipowasili kwenye Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Masumbwe, Jimbo la Mbogwe, Mkoani Geita leo Oktoba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Masumbwe, Jimbo la Mbogwe, Mkoani Geita.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Masumbwe, Jimbo la Mbogwe, Mkoani Geita leo.

No comments

Powered by Blogger.