Header Ads

Dkt BILAL akabidhi tuzo za Muungano Kwa Wafanyabiashara wa TANZANIA na UTURUKI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya Sherehe za Utoaji Tuzo kutoka Muungano wa Wafanyabishara na Wamiliki wa Viwanda wa Tanzania na Uturuki, iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hayatt Regency, jijini Dar es Salaam, jana usiku Okt 11, 2015.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa waandaaji wa Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki, wakati wa hafla ya sherehe hizo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Mkurugenzi wa Kampuni ya Sami Agencies Ltd, Lulu Mollel, wakati wa hafla ya Sherehe za utoaji Tuzo zilizoandaliwa na Muungano wa Wafanyabiashara na Wamiliki wa Viwanda kutoka Tanzania na Uturuki.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa hafla hiyo, baada ya zoezi la utoaji Tuzo. Picha na OMR

No comments

Powered by Blogger.