Header Ads

WATANZANIA wapiga kura ya Maamuzi 2015 !



Mmoja wa wakazi wa Kijitonyama mpakani akipiga Kura yake.

Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Nzasa wakiwa wanangoja kupiga Kura.
Bado wakazi wa Nzasa wanangoja kupiga Kura.
Baadhi ya wakazi wakihakiki majina yao ili kujua wanatakiwa wakae sehemu gani kabla ya kupiga kura.
Ulinzi pia ukiwa umeimarishwa hali ni Shwari.
Wengine wanaamua kungojea pembeni kidogo.
Leo shughuli zimesimama kupisha uchaguzi mkuu.
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA  KENTON
Baadhi ya wakazi wakihakiki majina yao kabla ya kuingia kwa ajili ya kupiga Kura 2015.
Baadhi ya watu wakiwa wamepanga mistari kwa ajili ya kungoja kupiga kura.
Kutokana na Foleni kuchangamka Baadhi yao wanaonekana kupumzika chini.
Watu mbalimbali wakingojea kupiga Kura.
watu wengi kituo cha Kenton.
Waliokuwa wakichati wakachati sana kuperuzi na wengine wakawa bizee bizeee na kusoma Magazeti huku wakingojea Kupiga Kura.
 
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA USTAWI WA JAMII
Hapa ni Chuo cha Ustawi wa Jamii ambapo pia kuna watu wamejitokeza kwa wingi kupiga Kura.
Bado wanaendelea kungojea.
Wengine wamekaa wakisubili kupiga Kura.
Baadhi yao wamesimama Pembeni wakingoja pia kupiga Kura.
Mmoja ya wazee akiwa anasaidiwa kutembea kwenda kupiga Kura.
 
KITUO CHA KUPIGIA KURA CHA  MPAKANI A KIJITONYAMA
 
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi kupiga kura katika kituo hiki cha Mpakani Kijitonyama.
Kazi zikiwa zinaendelea.
Umati wa watu ni Mkubwa lakini watu wanaendelea kungoja wapige Kura.

Mmoja ya akinamama akiwa anapigia tiki viongozi ambao anawataka

Picha zote na Fredy Njeje-Blogs za Mikoa Tanzania

No comments

Powered by Blogger.