Header Ads

Dkt JOHN MAGUFULI azuru Mahali Alipozikwa Babu na Bibi yake Kijijini KATOMA, Geita

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli (kushoto)  akiwa na baadhi ya ndugu jamaaa na marafiki wakisali alipozuru kaburi la babu yake Simon Marko Magufuli na bibi yake Anastazia wazaa baba yake  aliposimama kwa muda katika Kijiji cha Katoma, Geita Vijijini, , akielekea kufanya mkutano wa kampeni katika Kata ya Nkoma. 

 Wananchi wakiwa wamekusanyika nyumbani kwa kakake Dk Magufuli katika Kijiji cha Katoma.

 Dk Magufuli akiondoka baada ya kuzuru makaburi ya babu na bibi zake katika Kijiji cha Katoma.

Dk Magufuli akizungumza na wananchi baada ya kuzuru makaburi.

No comments

Powered by Blogger.