Header Ads

EDWARD LOWASSA azungumza na Wana GEITA kuomba kura

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwahutubia wananchi wa Busanda, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita leo Oktoba 13, 2015.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Busanda kwa tiketi ya Chadema, Alphonce Mawazo, akiwahutubia wananchi wa Busanda, katika Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita.
azee wa Kabila la Wasukuma wa Mkoa wa Geita, waliongozwa na Mzee Petro Manyema (mwenye kipaza sauti) wakimsimika Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, kuwa Kiongozi wa Kabila la Wasukuma, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mnadani, Katika Mji wa Katoro, Mkoani Geita leo.

No comments

Powered by Blogger.