Header Ads

EDWARD LOWASSA aendelea na Kampeni zake KYELA jijini Mbeya

Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiongozana na baadhi ya viongozi wakuu wa chama hicho, wakiwasili kwenye Uwanja wa Takoshiti, Mjini Kyela, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni zake, leo Oktoba 19, 2015.
Mwanasiasa Mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Takoshiri, Jimbo la Kyela, Jijini Mbeya leo Oktoba 19.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akiwahutubia wananchi katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Takoshiri, Jimbo la Kyela, Jijini Mbeya leo Oktoba 19, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kyela kwa tiketi ya Chadema, Abraham Mwanyamaki, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Takoshiri, Kyela, Jijini Mbeya leo Oktoba 19, 2015.

No comments

Powered by Blogger.