Header Ads

Mgombea Ubunge Jimbo la Ileje, Bi JANET MBENE, aahidi kushughulikia Tatizo la Barabara

Mgombea Ubunge wa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Janet Mbene akiwahutubia wakazi wa kata ya Ngulilo na kuahahidi kushughulikia tatizo la barabara.
Vikundi vya ngoma aina ya Mang;oma vikitoa burudani ya kucheza katika mkutano huo.

No comments

Powered by Blogger.