Header Ads

Dkt JOHN MAGUFULI, ahani Msiba wa Mwalimu Wake Hayati CORNELUS PASTOR, Wilayani BIHARAMULO

01
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Colner PaStor mwalimu aliyemfundisha katika shule ya msingi ya Chato,  Dk. Magufuli alionekana mwenye huzuni kutokana na kifo cha mwalimu wake huyo wakati alipohani msiba huo katika kijiji cha Nyakatuntu wilayani Biharamulo mkoani Kagera.

1
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimfariji mama Paskazia Mufuruki mjane wa Marehemu mwalimu Colner Pastor wakati alipohani msiba huo katika kijiji cha Nyakatuntu wilayani Biharamulo leo.

2
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Father Erasto Nakule mara baada ya kuwasili nyumbani kwa marehemu Colner  Pastor.

3
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Father Anthony mara wakati alipohani msiba wa Marehemu mwalimu wake Colner Pastor.

5
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akishiriki katika sara ya kumuombea marehemu.

6
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Ndugu Abdallah Bulembo akishiriki kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu mwalimu Colner Pastor.

7
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akitoa heshima zake katika kaburi la aliyekuwa  mwalimu wake marehemu Colner Pastor.

8
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa  CCM Biharamulo.

10
Baadhi ya wananchi wakifuatilia hotuba ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli wakati akihutubia mjini Biharamulo.

11
Amona Mpanju kwa mbali akihutubia katika mkutano huo.

12
Baadhi ya wananchi waliohudhuria katika mkutano huo wa kampeni uliofanyika mjini Biharamulo.

13 14 15 16
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati alipokuwa akihutubia mkutano huo mjini Biharamulo.

17
Wananchi wakipunga mikono yao juu kutokana na kufurahishwa na hotuba ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli.

18
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Biharamlo Ndugu Oscar Mkasawakati.

19
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Biharamulo na wahgembea wa viti maalum mkoa wa Kagera.

20\
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wana CCM.

21 22 23

No comments

Powered by Blogger.