Header Ads

EDWARD LOWASSA, ahutubia Mererani hii leo

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Mererani, katika Mkutano wa Kampeni zake, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Simanjiro Mkoani Manyara leo Septemba 25, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea rungu ya Laigwanani kutoka kwa Mzee wa Mila ya Jamii ya Kimaasai, Laigwanani Langitambi, wakati wa Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye uwanja wa Machinjioni, Mererani Jimbo la Simanjiro Mkoani Manyara.

No comments

Powered by Blogger.