Header Ads

EDWARD LOWASSA, aendelea Kuomba Ridhaa ya Wananchi Mjini Dodoma

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akinadi sera zake kwa umati wa wakazi wa Mji wa Dodoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini humo leo Septemba 11, 2015, ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, mwaka huu.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwaka kwenye gari lake la wazi huku umati wa wananchi wa Dodoma ukimsindikiza wakati akitokea kwenye Mkutano wa Kampeni uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Barafu, Mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.