Header Ads

JANET MBENE azidi Kukubalika katika Jimbo la ILEJE

Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akimnadi mgombea udiwani wa kata ya Malangali Sayinga Kayuni wakati wa mkutano wa hadhara wa kunadi sera za chama cha Mapinduzi.
Mgombea ubunge wa chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Ileje mkoa wa Songwe Janet Mbene akihutubia mamaia ya wakazi wa kata ya Malangali wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya malangali.
Kikundi cha ngoma za asili kutoka kata ya malangali kikitoa burudani kwa wanacahma wa Chama cha Mapinduzi CCM waliofika kusikiliza sera za mgombea wa Chama hicho wilaya ya Ileje Janet Mbene.
 

No comments

Powered by Blogger.