Header Ads

CHEREKO ; Usiku wa ESTER DIANA NANA Ulivyofana

 Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana (kushoto) akigonisha glasi na msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
 Ester akikata keki huku akisaidiana namsaidizi wake.
 Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana (kushoto) akimlisha keki msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
 Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana akimkabidhi keki, Naibu Katibu Mkuu wa Ofoso ya Makamu wa Rais, Bi. Angelina Madete, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
 Mwendesha Shughuli Mc Bazil, akifanya yake katika sherehe hiyo.
 Mama Mzazi wa Bi harusi mtarajiwa, akimkabidhi zawadi ya Biblia mwanae Ester.
 Wakwe wakiandaa zawadi ya Bi harusi mtarajiwa kabla ya kumkabidhi.
 Mc Bazil. akimkabidhi zawadi ya Cd Bi Harusi mtarajiwa ukumbini hapo.
 Wakati wa zawadi.....
Bi harusi mtarajiwa akiwa na mumewe mtarajiwa wakielekea kupata chakula cha usiku ukumbini hapo. Watarajiwa hao wanatarajia kufunga ndoa jumamosi ya wiki hii.
Wakati wa mlo wa usiku.

No comments

Powered by Blogger.