Mgombea Ubunge Jimbo la Ileje, JANET MBENE aendelea na Harakati za Kulitwaa Jimbo hilo
| Janet Mbene mgombea Ubunge jimbo la Ileje akisalimia na wakazi wa isongole wakati akiwa njiani kuelekea kata za Bundari wakati wa kampeni za kuwania ubunge wa jimbo hilo. |
| Aliyekuwa mgombea ubunge katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi Marcelin Ndimbwa akimnadi mgombea ubunge wa ubunge wa CCM Janet Mbene. |
| Janet Mbene akicheza kwaya na wakazi wa Kata ya Kapelekesi wakati wa mikutano yake ya kampeni katika kata ya ileje. |
Post a Comment