Header Ads

MAKADA WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM WAMENDELEA KUTIA NIA YA KUWANIA URAIS WA AWAMU YA TANO

Harakati za Makada ya Chama cha Mapinduzi zimeendelea kushika kasi na Leo ilikuwa na zamu Kada Mwingine wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Waziri Mkuu Mstaafu, FREDERICK SUMAYE.

Mara baada ya kutangaza nia ya kuwania urais na kufanya idadi ya waliotangaza nia ya kuwania nafasi hiyo, hadi sasa kufikia zaidi ya tisa anakumbana na maswali ya Wanahabari.


Moja ya maswali hayo ikawa ni kutaka kujua namna alivyoshughulikia Sakata la ununuzi wa Rada wakati akiwa Waziri Mkuu katika Serikali ya awamu ya tatu, na hii ndio kauli yake…



Lakini je ni kipi kipaumbele chake endapo atapata ridhaa ya kuwa Rais wa awamu ya tano wa Taifa hili….









No comments

Powered by Blogger.