Header Ads

BOHARI YA DAWA ( MSD ) YASHIRIKI MAONESHO YA WKI YA UTUMISHI WA UMMA JIJINI DAR ES SALAAM


Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD.

Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki moja

Ofisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema.
Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD.

Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo.
Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo. 

No comments

Powered by Blogger.