Header Ads

WANAKIJIJI WA KATA YA MLANGALI, WAMCHANGIA FEDHA MBUNGE DEO FILIKUNJOMBE

Mwanamke  mkazi   wa kijiji  cha Itundu kata ya  Mlangali  wilaya ya  Ludewa akimchangia  mbunge  wa  jimbo la  Ludewa Deo Filikunjombe wa pili  kushoto pesa ya fomu ya  ubunge wa kwanza kushoto ni katibu wake Bw Stany Gowele.
Wananchi  wakimchangia mbunge  Filikunjombe pesa za kuchukua fomu ya ubunge.
Mbunge Filikunjombe  akichangiwa  pesa  ya  kuchukulia  fomu ya  ubunge muda ukifika.
Mbunge  Filikunjombe akifurahia  kuchangia pesa  ya kuchukulia  fomu ya ubunge.
Wananchi wa kada mbali mbali  wakimchangia mbunge Filikunjombe.
Filikunjombe akikabidhi sare  kwa madereva  boda  boda Mlangali.
Kwaya  ya  vijana  wakiimba  wimbo  wa  kulinda amani  wakati wa mkutano wa mbunge Filikunjombe.
Mbunge  Filikunjombe  akizungumza na  wananchi  wa kijiji  cha Itundu kata ya Mlangali Ludewa.
Filikunjombe akitoa  mfano  wa mshikamano  wa  kimaendeleo  unavyoweza  kuleta mabadiliko makubwa.
Mbunge  wa Ludewa Deo  Filikunjombe  akikabidhi   vifaa vya  michezo kwa timu zote 8 za  vitongoji  vya kijiji cha Itundu  kata ya Mlangali. 

No comments

Powered by Blogger.