Header Ads

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA, KATIKA MAZUNGUMZO NA CHIFU WA WAHEHE ADAM ABDU SAPI MKWAWA


mail.google.comM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 .

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0002
Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  wakizungumza na  Chifu wa Wahehe Adam Abdu  Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015

No comments

Powered by Blogger.