Header Ads

WAZIRI BERNARD MEMBE, APATA WADHAMINI MKOANI KIGOMA

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Bernard Membe akizungumza na umati wa wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM,waliofika mjini Kigoma kwa ajili ya Kumdhamini ili aweze kuwania Urais katika Uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

No comments

Powered by Blogger.