Header Ads

LOWASSA AVUNA MAELFU YA WADHAMINI MBEYA

1
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwa katikati ya umati wa wanachama wa CCM na wananchi waliofurika nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya kumdhamini, jana, ambapo amedhaminiwa na wanachama 53,156.

2
Shabiki wa CCM akishngilia Msafara wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada kuwasili mkoani Mbeya jana.

3 4 5
Mmoja wa wananchi akiwa amebebwa na baada ya kuzimia nje ya Ofisi za CCM Mbeya Mjini wakati akimsikiliza Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa alipokuwa akikabidhiwa majina ya wanaCCM 53,156 waliomdhamini jana.

6
Katibu wa CCM Wilaya ya Mbalizi mkoani Mbeya ,Mary Kalinze,akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, majina ya wanaCCM zaidi ya 9,000 waliomdhamini jana.

7
Katibu wa Wilaya Mbeya Mbeya, Kulwa Milonge, akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, majina 53,156 ya wana CCM waliomdhamini jana.

8

No comments

Powered by Blogger.