Header Ads

TASWIRA KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA

1
Waziri wa Fedha, Saada  Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015.

(Picha zote na ofisi ya Waziri Mkuu)

2
Waziri Mkuu, Mizengo  Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi,  Bungeni mjini Dodoma.

4
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. 

5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna Abdallah (kushoto) na Al Shymaa Kwegyir wakitoka kwenye kumbi wa Bunge mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.