Header Ads

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD ASAFIRI KWA BOTI


Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 111) wakati akijiandaa kupanda boti hiyo kwa safari ya Zanzibar. (Picha na Salmin Said, OMKR)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiagana ya watendaji wa boti ya (Kilimanjaro 1V) baada ya kuwasili bandari ya Dar es Salaam jana jioni akitokea Unguja.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwapungia mkono wananchi, baada ya kuteremka kutoka ndani ya boti ya (Kilimanjaro 111), aliyosafiria akitokea Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwasili katika bandari ya Zanzibar akitokea Dar es Salaam kwa usafiri wa boti ya (Kilimanjaro 111).

No comments

Powered by Blogger.