Header Ads

KAMPUNI MAARUFU TANZANIA ZAJIUNGA KATIKA VITA DHIDI YA MALARIA


Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dr.Seif Suleiman Rashid ,akiwahutubia wadau wa kampuni mbalimbali(hawapo pichana), alipozikaribisha kampuni 28 zilizokubaliani kujiunga na kampuni zengine kupambana dhidi ya kuitokomeza Malaria nchini Tanzania.
Mkurugenzi mkazi wa USAID Tanzania, Bi.Sharon Cromer,akiongea na wadau wa kampuni mbalimbali(hawapo pichana),
Wadau kutoka kampuni mbali mbali akiwemo Waziri wa Afya na ustawi wa jamii,  Dr.Seif Rashid Suleiman wakimskiliza aliekuwa raisa wa  chama cha mpira TFF, na balozi wa Malaria Safe, Leodegar Tenga(hayupo pichani), katika mkutano wakujadili jinsi ya kuitokomeza malaria uliofanyika katika hotel ya Coral beach, Dar es Salaam.
Bwana Nicholus Nderungo(Kushoto) kutoka John Hopkins,Center for Communication Programs na Dr.John kutoka kampuni ya BG-Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja,katika mkutano wa kujadili jinsi ya kuitokomeza malaria uliofanyika hotel ya Coral beach,Dar es Salaam.   


No comments

Powered by Blogger.