Header Ads

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA, AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE KIJIJINI BUTIAMA

1
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda kijijini  Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma Juni 26, 2015.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na   Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere  wakati alipokwenda Butiama mkoani Mara kumsalimia akiwa njiani kuelekea Mwanza  akitoka Musoma Juni 26, 2015.

4
Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere  wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma.

5
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akitazama kifimbo alichozawadiwa  na Mtoto wa Baba wa Taifa, Madaraka Nyerere  (kulia) wakati alipomtembelea mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere kijijini Butiama akiwa njiani kuelekea Mwanza akitoka Musoma  Juni 26, 2015.  Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Musoma  Zelote Stephen.

6
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika futari iliyoandaliwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza  Magesa Mulongo kwenye hoteli ya Malaika mjini Mwanza Juni 26, 2015.

No comments

Powered by Blogger.