Mhandisi msimamizi wa
ujenzi wa barabara za juu (Tazara Flyover), Eng. Kiyokazu Tsuji (katikati)
akitoa maelezo ya ujenzi wa barabara za juu (TAZARA Flyover), kwa kamati ya
kudumu ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipotembelea kukagua maendeleo ya
ujenzi huo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani na Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Miundombinu
Profesa Norman Sigala King.
|
Post a Comment