Daktari
bingwa wa Upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dkt. Ibrahim Mkoma
akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu kuruhusiwa kwa mgonjwa
aliyekuwa anapatiwa matibabu kutokana na majeraha ya kuunguzwa na maji ya moto kifuani,
shingoni na mkononi, Bibi. Neema Mwita maarufu kama mgonjwa wa Magufuli.
Neema alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo kufuatia msaada wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kuguswa na
taarifa za mgonjwa huyo mapema mwezi wa pili mwaka huu hali iliyompelekea
kuchukua jukumu la kumsaidia, Mkuu wa Jengo la Sewahaji Bibi. Salome Mayenga
(kushoto) na Mkuu wa Wodi namba 24 Sewahaji, Muhimbili Bibi. Georgina
Kabaitileki.
|
Post a Comment