Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA azungumza na Watumishi Wilayani Simanjiro
| Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Mhandisi Zephania Chaula akisoma taarifa ya wilaya hiyo mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet Februari 16, 2017 . |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017. |
| Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro kwenye Ikulu ndogo ya Orkesimet akiwa katika ziara ya Mkoa wa Manyara, Februari 16, 2017. |
Post a Comment