Mkutano wa 12 wa Dunia wa Kifua Kikuu wafunguliwa leo Jijini Dar es Salaam
| Waziri ummy Mwalimu akionesha kitabu cha mapambano dhidi ya kifua kikuu chenye mikakati mbalimbali ya kudhibiti ugonjwa huo. |
Waziri Ummy Mwalimu akifuatalia Mada iliyokuwa
ikiwasilishwa,kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Mohammad kambi.
|
Washiriki mbalimbali wa mkutano huo wakifuatilia
mada zinazowasilishwa kwenye mkutano huo.
|
Post a Comment