Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mchango wa sh. milioni 5.5 kutoka kwa Mhasibu wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Rose Makange (katikati)ukiwa ni mchango wa watumishi wa TAMISEMI kwa ajili ya madawati wilayani Ruangwa.
Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, mjini Dodoma Februari 14, 2017, Kulia ni Rose Nyoni. |
Post a Comment