|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akipokea zawadi ya maua mara baada ya kuwasili katika viwanja vya
Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam kufungua mashindano ya magari Afrika
Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8
mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akifurahi jambo pamoja na Rais wa Automobile Association of
Tanzania Bw. Nizar Jivani(Kulia), Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT)
Bw. Mohamed Kiganja (wa tatu kulia) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika
Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika kuanzia Julai 8
mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akitambulishwa kwa baadhi ya madereva wa mashindano ya magari Afrika
Mashariki (East African Classic Safari Rally) na Rais wa Automobile Association
of Tanzania Bw. Nizar Jivani (Kulia) mashindano hayo yanayofanyika kuanzia
Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akijadiliana jambo na Rais wa Automobile Association of Tanzania
Bw. Nizar Jivani (Kulia) wakati alipowasili katika ufunguzi wa mashindano ya
magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Rais wa Automobile Association of Tanzania Bw.
Nizar Jivani akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika
Mashariki (East African Classic Safari Rally) iliyofanyika katika viwanja vua
Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam mashindano hayo yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa mashindano ya magari Afrika
Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai
8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akiwa ameweka bendera tayari kwa ajili ya kuruhusu magari kuondoka
katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara
ya kufungua rasmi kwa mashindano ya magari ya Afrika Mashariki (East African
Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akiwa amenyanyua bendera kuruhusu
magari kuondoka katika viwanja vya Hotel ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam
ikiwa ni ishara ya kufungua rasmi kwa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East
African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka
huu.
|
|
Kaimu Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa(BMT)
Bw. Mohamed Kiganja akiwa katika moja ya magari yatakayotumika katika mshindano
ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akiwa katika moja ya magari yatakayotumika katika mshindano ya
magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape
Moses Nnauye akitoa zawadi ya tunzo kwa mwakilishi wa Azam media mmoja wa
wadhamini wa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari
Rally) mashindano hayo yanayofanyika kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Moja ya timu kutoka Uganda wakisubiri kufunguliwa kwa
mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
|
Baadhi ya magari yakitoka katika viwanja vya Hotel
ya Southern Sun Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ishara ya kufunguliwa rasmi
kwa mashindano ya magari Afrika Mashariki (East African Classic Safari Rally) hayo yanayofanyika
kuanzia Julai 8 mpaka 10 mwaka huu.
|
Picha na Raymond Mushumbusi
Post a Comment